jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

    Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa. Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo. Issue ni kwamba, kama madai...
  2. BARD AI

    Hatma ya Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude bado Giza Totoro

    Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini. Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
  3. Bams

    Jeshi la Polisi linapokosa weledi linageuka kuwa chanzo cha taharuki

    Tungekuwa tupo katika nchi zilizostaarabika, wakati huu, uongozi wote wa Jeshi la Polisi ungekuwa umeshaondolewa kwa mambo ya ajabu yanayofanywa na jeshi hili yanayoashiria kukosekana kwa weledi ndani ya chombo hiki. Jeshi la Polisi linapofanya kazi ya kuwatengenezea watu kesi za kubumba ili...
  4. Dalton elijah

    IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  5. benzemah

    Je, Jeshi la Polisi linamkwamisha na kumgombanisha Rais Samia na Wananchi?

    Ni muda mfupi tu umepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan apokee taarifa ya Tume ya Haki Jinai na moja ya maeneo yaliyotajwa kama kinara kwa uozo na uovu ni Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Wakati Rais Samia akifanya jitihada za...
  6. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  7. X

    Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  8. R

    Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

    Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza. Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
  9. Teko Modise

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  10. Nyendo

    Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  11. Roving Journalist

    Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  12. Sildenafil Citrate

    Jeshi la Polisi: Waliotishiwa maisha wawasilishe Ushahidi ili wahusika wakamatwe

    Katika siku za karibuni kumejitokeza tabia kwa baadhi ya wat kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, wakidai kuwa wametishiwa maisha kwa sababu hi na ile iambo ambalo linawajengea wananchi hofu na maswali yasiyo ya msingi. Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa wito kwa jamii...
  13. JET SALLI

    DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  14. mshale21

    Ashikiliwa na Jeshi la Polisi Morogoro kwa tuhuma za wizi wa misalaba 14

    Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola. Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro ACP Alex Mkama amesema, jeshi hilo lilipokea malalamiko...
  15. Nyendo

    Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi. Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
  16. Bams

    Jeshi la Polisi Kutozingatia Sheria ni kwa Sababu ya Kukosa Weledi au ni Kiburi?

    Kati ya mambo ambayo hufanya jeshi la polisi na polisi wa wetu wa Tanzania kudharaulika na kuonekana limejaza watu wasio na weledi au weledi mdogo, ni pale linapofanya mambo kinyume cha sheria, au kujipa mamlaka ambayo halina. Jeshi la polisi linapotenda mambo kinyume cha sheria labda kwa...
  17. benzemah

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  18. halfcastmangi

    Bajaji za pale Uhasibu Kurasini ni hatari kwa maisha ya wavuka barabara, Polisi ilitazameni hili

    Habari za uzima wana JF, Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
  19. B

    Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  20. M

    SoC03 Matumizi ya nguvu kupita kiasi katika ukamataji wa jeshi la polisi unavyodidimiza kaya masikini

    Nice try
Back
Top Bottom