Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.
Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao
Chanzo: ITV
Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa.
Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja.
Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
“Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo?
Labda Rais yeye...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo.
Rais Samia ametangaza kuunda kamati hiyo Jumatano Juali 20, 2022 mara baada ya kumuapisha Camillus Wambura...
Emmanuel Kalule
20.07.2022
Leo mapema majira ya saa nane usiku, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi ya Polisi nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP).
IGP Wambura akichukua...
Kuna tangazo Azam Tv linalohusu tamasha la watoto litakalofanyika mwezi wa 8 Oyterbay kwenye uwanja wa kijani zamani kulikuwa dipu ya kuogeshea mbwa, moja ya "mchezo" ni wa kulenga shabaha kwa kutumia bunduki bandia, huu kwa watoto wenye wazazi wanaomiliki bunduki ambao ni wengi kulingana na...
Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia
neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo!
jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
Napenda kupongeza jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi kuwatimua vijana zaidi ya 400 waliokuwa wamekusanywa na Q NET wakipewa ndoto za utajiri wa haraka na wao kuombwa kiasi cha milioni 5 ili kutajirika.
Sasa iko hivi, hawa Q NET wana ka mtandao kengine wanakaita Rythim Foundation...
Ndugu wa mwanamke anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu jijini Dar es Salaam wameliburuza mahakamani Jeshi la Polisi na Hospitali ya Taifa Muhimbili wakitaka uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo.
Stella Moses (30) alifariki usiku wa Desemba 20, 2020 akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi...
Shtaka la Maafisa saba wa Jeshi la Polisi wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiasha wa madini, Musa Hamisi, aliyekuwa mkazi wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi limesomwa leo Juni 16, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara.
Watuhumiwa wote walifikishwa Mahakamani hapo ambapo shtaka lao limepangiwa...
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.
Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu
Kisha isome taarifa...
Habari wanajamvi.
WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita.
Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini.
Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina...
Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23.
Utangulizi:
Jana Alhamisi tarehe 5 Mei 2022 Wizara ya Mambo ya Ndani iliwasilisha bungeni hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.