jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  2. IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  3. Jeshi la polisi ni ukoo wa kambale; samaki mdogo kwa mkubwa, wote wana ndevu

    Wakuu kwema? Baada ya mjadala wa muda mrefu kuhusu uovu wa polisi ulikokidhiri hasa siku za hivi karibuni,nimeona nami niseme kitu kwa uzoefu wangu wa hawa watesi. Kwangu mimi jeshi la polisi nalifananisha na ukoo wa kambale ambao kila samaki ana ndevu bila kujali umri,yaani namaanisha hakuna...
  4. Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu(...
  5. Jeshi la Polisi lasema askari aliyejinyonga alikuwa peke yake mahabusu

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuelezea tukio la Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe kujinyonga katika mahabusu alipokuwa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi, mkoani Mtwara. Wamesema askari huyo baada ya kutoa maelezo alifungiwa mahabusu peke yake...
  6. IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  7. Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  8. Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
  9. Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
  10. C

    IGP alitusihi wazazi tusizae majambazi, vipi yeye kuongoza wauaji huko Jeshi la Polisi

    Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili. Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali...
  11. Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni. Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
  12. C

    RPC Mtwara hatakiwi kuwa kazini kwa uzembe aliofanya

    Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn. Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate...
  13. Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  14. Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua. ===== JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda...
  15. Jeshi la Polisi halina msaada ukiripoti kutishiwa maisha

    Imesikika kauli eti ya kamanda wa Kanda Maalum ya Dar, ikimtaka Askofu Mwingira aripoti haraka makao makuu ya polisi kwa mahojiano juu ya kauli ya Askofu huyo kutamka kuwa mara kadhaa alinusurika kuuawa na watu wa Serikali. Sijui wanaenda kumhoji ili wafanye nini. Na kama alinusurika kuuawa na...
  16. S

    Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  17. M

    Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  18. K

    Jeshi la Polisi angalieni basi la Arusha Express linalofanya safari za Arusha - Bukoba

    Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana. Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi. Kazi kwenu jeshi la polisi kabla...
  19. Ujenzi soko dogo Karikaoo wajengwa chini ya ulinzi

    Dar es Salaam. Ujenzi wa uzio wa soko dogo Kariakoo na ukarabati wa soko kubwa lililoungua moto Julai mwaka huu unafanyika chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi. Hali hii imeonekana leo baada ya kupita siku nne tangu mkandarasi Estim Contraction Ltd anayetakiwa kufanya shughuli hiyo kukabidhiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…