Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
1.0 Utangulizi.
Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi.
Prince alitoa mtazamo...
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani muda wa mazoezi ya ukakamavu upunguzwe kidogo, kisha jeshi likazane katika kuajiri watu watakaoleta...
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari.
Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA
Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024.
Kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, mnatangaziwa kuwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi...
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
HALI YA ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA YA NCHI
Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2023/24, haIi ya mipaka ya Nchi yetu yenye urefu wa jumIa ya kiIomita 5,923.41, ambayo inahusisha eneo Ia nchi kavu na eneo Ia maji, imeendeIea kuwa shwari. Mipaka hiyo ni baina ya Tanzania na Burundi, Jamhuri ya...
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha fedha za pensheni ya kustaafu alicholipwa.
Anasema alipokea sms ikionyesha malipo ya Sh21 milioni...
Vyombo kadhaa vya habari vinaripoti sintofahamu huko DRC , vinasema kuwa jaribio la kumpindua rais Felix Tshikedi limeshindwa!
====
DR Congo army says it has thwarted attempted coup
The Democratic Republic of Congo army says it has quashed an attempted coup against President Felix Tshikedi in...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah
Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya
Mungu ibariki Israel
IDF kills...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.
Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?
Kuna...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Pia soma:
LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
Akikabidhi pikipiki...
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja...
Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea na mapigano na hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa na wanapambana na jeshi lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.