Sijawahi kuona bodaboda au vijana wa hovyo kama hao vijana wa Kawe aisee ni wajinga na wakora kupitiliza aisee kwanza ni wezi, makuwadi, wauza bangi na aina ya vitu vya hovyo kupitiliza.
Siwezi kusahau siku walionipora milioni mbili kwenye begi langu na mmoja ya watu waliohusika kunifanyia huo...
Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945.
Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo...
Salaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea.
Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria.
Matukio ni...
NI UGAIDI JESHI KUPIGA WANANCHI WASIO NA HATIA KISA WANAONYESHA HASIRA ZA MWENZAO/WENZAO KUDHURIWA NA MTU/KIKUNDI FULANI.
Anàandika, Robert Heriel
Kamanda wa Tibeli.
Kuna ile tabia ambayo sasa nadhani imezoeleka ya kulichafua jeshi letu au baadhi ya wanajeshi wasiowaadilifu kuchafua kazi ya...
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi.
Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza...
Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu...
Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon.
Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo.
Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.
Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.
Kimsingi baada ya vita ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.