jeshi

  1. Eli Cohen

    Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  2. M

    Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

    Mzuka wanajamvi, Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
  3. runtown

    Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  4. JanguKamaJangu

    Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  5. M

    Peter Madeleka: Mwili wa kijana Enock Elias umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji Wilayani Kibondo

    Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
  6. L

    Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

    Ndugu zangu watanzania, Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  8. J

    Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  9. Roving Journalist

    Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo. ===== Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa Jeshi la Polisi Kanda...
  10. Petro E. Mselewa

    Swali la ufahamu: Hivi CCM hutoa taarifa ya mikutano ya hadhara au/na maandamano yao kwa Jeshi la Polisi?

    Waungwana wa JF, husikeni na mada ya hapo juu. Nikiri wazi kuwa katika kufuatilia kwangu siasa za Tanzania kupitia redio, magazeti, runinga na mitandao ya kijamii, sijawahi kuona au kusikia kuhusu barua iliyowasilishwa na CCM kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) waweze kuendesha maandamano ya...
  11. MK254

    Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

    Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo.................. Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli....... The Israel Defense Forces on Wednesday...
  12. Ritz

    HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Wanaukumbi. ----- 136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions: We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation. Our Mujahideen destroy vehicles and...
  13. harunimaiga

    Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
  14. BARD AI

    Meja wa Jeshi la Ukraine afariki kwa kuripukiwa na Bomu alilopewa kama zawadi ya 'Birthday' yake

    A Ukrainian major has died after he was accidentally blown up by a grenade given to him as a birthday present.⁠ ⁠ Hennady Chastyakov was killed as he showed the gift to his teenage son at home on Monday, officials said.⁠ ⁠ It was initially thought that the 39-year-old had been killed by a...
  15. Midimay

    DOKEZO Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba na Ikungi

    Habari za mchana wana JF. Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo ipo katika Mkoa wa Singida. Ni karibu pia na Mpaka na Wilaya ya Hanang katika mkoa wa Manyara. Hali...
  16. peno hasegawa

    Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

    Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf. Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
  17. TUKANA UONE

    Aliyewaambia Jeshi la Polisi askari kunyoa ndevu ni ishara ya utii ni nani?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaambulia chuya tu! Ukiwaona askari polisi wanaolipwa mishahara huwezi kuwatofautisha na wafungwa wa pale kwetu Gereza la Luanda Mbeya,au kule Moshi kwa Shangazi yangu Gereza la Karanga,Au kule Kwa watani zangu Mwanza Gereza la Butimba au...
  18. Kangosha

    Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  19. M

    Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
  20. GENTAMYCINE

    Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
Back
Top Bottom