jeshi

  1. K

    Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  2. MK254

    Jeshi la Ukraine lakomboa Horlivka na kusimika bendera

    Japo mashabiki wa Urusi mlikimbilia kwa Wapalestina ambao huwa mnalazimisha undugu nao ila mara moja moja huwa naendelea kuwakumbushia masaibu ya supapawa wenu Mrusi mliyemtegemea ila akawaangusha.... Hata hivyo na huko Gaza mlikokimbilia nawafuata tu, hamna kupumzika labda mbinguni kwa mabikira...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Trafic amegoma kumchukulia hatua dreva wa lori la jeshi

    Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi. Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita...
  4. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi latoa somo kwa Madereva wa Malori Mkoani Mbeya

    Kuelekea mwisho wa mwaka 2023, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi cha usalama barabarani limewataka madereva wa malori kuwa na udereva wa kujihami ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Akizungumza Desemba 11, 2023 katika eneo la maegesho ya malori Jijini Mbeya, Mkuu wa Kikosi cha...
  5. sky soldier

    Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  6. The Palm Beach

    Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

    Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote. Mbowe...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  8. S

    Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  9. JanguKamaJangu

    Katavi: Watuhumiwa 121 wanaswa na Jeshi la Polisi kwa makosa mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewatia mbaroni watuhumiwa 121 kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, uzururaji, mauaji na uvunjifu wakiwa na vielelezo vya tuhuma hizo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Kaster Ngonyani amesema katika misako mbalimbali inayoendelea katika mkoa huo...
  10. kuchkuch hotahe

    Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

    Tangazo linaajieleza
  11. I

    Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

    Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
  12. benzemah

    Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  13. R

    Je, Jeshi la Polisi Tanzania linaruhusiwa kumchunguza Waziri au Naibu Waziri akitenda jinai? Au hadi wapewe ruhusa yakufanya hivyo?

    Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo . Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au...
  14. Mganguzi

    Jeshi la polisi linachangia timu zetu kukosa matokeo mazuri viwanjani ,polisi mnawasaidia wageni kutamba nyumbani

    Polisi wetu kila mahali wao wanaleta upolisi mimi huwa nachukia sana ! Timu zetu zinakwenda kucheza nje ya nchi ,zikifika zinakutana na balaa la mashabiki ,, kulipua mafataki wakati mechi inaendelea,moshi kujaa uwanjani,kuwasha miale ya kila rangi ,nk ,si fifa wala caf waliowahi kusema kufanya...
  15. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi Arusha lawakamata Maafisa Feki wa TRA

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli wananchi katika maeneo tofauti tofauti Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani...
  16. GENTAMYCINE

    Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

    50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda 40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda 4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya 3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania 1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi 1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR 0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani...
  17. Webabu

    Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

    Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao. Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh...
  18. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Watu 40 washikiliwa na Jeshi la Polisi katika msako wa Mauaji ya Askari wa kampuni ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo: Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
  19. Webabu

    Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  20. N

    Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
Back
Top Bottom