Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT
Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI
Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake.....
Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee...
Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi.....
A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.
Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, machi 16, 2024 ameshiriki katika ziara ya kikazi ya Kamati ya...
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la kuuwawa kwa mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi Kibonde maji B, Mbagala na mwili wake kukutwa tarehe 13 Machi, 2024 kwenye msitu wa Jeshi karibu na Shule aliyokuwa anasoma.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) awasili Mkoani Mtwara kutatua kero ya mgogoro wa ardhi kati ya Kikosi cha Jeshi 665 Regt na Wananchi wa Mbae Mashariki eneo ambalo limevamiwa na kujengwa makazi.
Akizungumza na wananchi waliojitokeza katika...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax ametembelea Chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi kilichopo eneo la Duluti Mkoani Arusha na kujionea kazi zinazotekelezwa na chuo hicho.
Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC.
Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa macho walisema shambulio hilo lilitokea siku ya Alhamisi, na kumwacha mwanajeshi mmoja wa Tanzania...
Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki,
Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
KUTOKA UWANJA WA MKAPA HADI UWANJA WA MWALIMU NYERERE NYOTA WA YANGA
Mwanangu Taufik ni mpenzi mkubwa wa Yanga na mimi ni Mnyama.
Kwa kweli nateseka sana maana baada ya zile hamsa yeye ni kunikumbusha kivumbi kilichotokea kwa Mkapa.
Juu ya haya yote ni mwana mwenye huruma ananisaidia kwa...
Maafisa katika serikali ya raisi Biden wameendelea kukwaruzana kuhusu mashambulizi yanayoongezeka ya Houth na kuleta madhara japo jeshi la Marekani limeshatumia nguvu kubwa kuwapiga.
Naibu katibu muhtasi wa Pentagon,bi Sabrina Singh amesema Houth wanaonekana kuwa na hazina kubwa ya silaha kuliko...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
Katika Vita Vya Israeli - Hamas, idadi ya magaidi waliouwawa yaelekea 10,000 kulinganisha na wanajeshi wa Israeli 236 toka vita ianze hiyo October, 30,2023. Huku 90% ya miundombinu ya Hamas ikiharibiwa huko Gaza.
........
The IDF now holds control over approximately 70% of Gaza, significantly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.