jeshi

  1. Kichuya kujiunga na jeshi

    KICHUYA NA WENGINE SITA KUKOSEKANA JKT. Klabu ya JKT Tanzania huenda ikawakosa nyota Zaidi ya Sita akiwemo Shiza Kichuya ambao wapo kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi kwa muda wa Miezi mitatu. Kocha Mkuu wa timu hiyo Malale Hamsin amethibitisha taarifa hizo nakubainisha...
  2. Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  3. Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  4. Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  5. Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  6. Viongozi 4 wa jeshi la Iran wauawa kwa sumu Syria

    Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira.... The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders. Several others were reported injured in the event, including...
  7. Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Habari za leo Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi. Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo...
  8. Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

    Pamoja na Israel kushindwa kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea na japo imeshawahamisha wapalestina wa Gaza huku na huko bila mafanikio lakini bado imeweka nia thabiti ya kushambulia eneo la Rafah. Umoja wa mataifa na kila mmoja wameshatoa angalizo kuwa kushambulia eneo hilo...
  9. K

    Ziara za Paulo Makonda Aibu kwa Jeshi la Polisi na Wasimamizi wa Haki na Sheria

    Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake. Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria. Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Wananchi...
  10. Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  11. Inakuwaje nchi kuwa na jeshi (millitary base) kwenye nchi nyingine?

    Hi Kings and Queens. Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine. Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:- 1. Hawa mabeberu wanaanzisha kambi zao kibabe kwa maana bila ridhaa ya wananchi au wanapewa ardhi na wenye nchi...
  12. T

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame. Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi. Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
  13. Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa kupotea Kwa Baba na Mtoto Mkoani Geita

    Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 31,2024 msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamshna...
  14. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  15. Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  16. B

    Kamanda Jeshi la Wanahewa la Zambia adaiwa kupigwa risasi na mkewe

    Lusaka, Zambia Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha . Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha ni mshukiwa mkuu wa madai ya mauaji hayo. Kamanda huyo wa...
  17. C

    Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  18. Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  19. Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  20. Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''. Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…