jeshi

  1. Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

    Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF. Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...
  2. K

    Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

    Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23? Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu. Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki...
  3. M

    Polisi Wamkamata Luteni Feki Wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  4. Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Emmanuel Sulwa Mapana akiwa na sare za Jeshi zenye cheo cha Luteni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  5. U

    Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  6. T

    Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

    Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa. Kwa mujibu wa raia waliopo...
  7. Jeshi la Polisi lawasaka waliofanya mauaji Ngara

    Wananchi wa tarafa ya Nyamiaga Kata ya Murukulazo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameaswa kutokukichukulia sheria Mkononi na badala yake kuzifikisha changamoto zao katika mamlaka husika huku akiweka wazi kusakwa kwa wote walifanya mauaji ya mwanchi katani humo. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa...
  8. Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

    Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani... Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
  9. TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

    Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi. Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
  10. Jeshi letu si yo la vibaka

    https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453 Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi. Mpaka sasa, magari 14 yamesharudishwa mikononi mwa wenyewe. Jeshi letu ni la kitaalam, hatuwaibii watu.
  11. Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  12. DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

    Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
  13. Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  14. Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  15. Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

    Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha...
  16. Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  17. Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  18. F

    Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Source : DW Swahili leo mchana. Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma. Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo...
  19. Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri. Baada ya kuzidiwa na waasi, wenzake waliondoka na boti kuelekea Bukavu,kupitia ziwa Kivu. Kwa bahati mbaya...
  20. Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

    Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda. Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…