jeshi

  1. B

    Hivi jeshi wanaruhusu kupokea mtu mwenye miaka 29/30?

    Mambo yanakwendaje wadau kwa mtu ambae tiyari ni degree holder na ana passion ya kwenda jeshi ni umri gani wa juu wa mwisho jeshi Lina chukua recruit! Na kama huna cheti cha Jkt je mafunzo ya Jwtz? Unaweza ruhusiwa kujiunga?
  2. OC-CID

    Kwanini magari ya jeshi huwa hayafati sheria barabarani?

    Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
  3. Sun Zu

    Jeshi la Congo DR larejesha baadhi ya maeneo yaliyokuwa chini ya udhibiti wa wapiganaji wa M23

    #DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana Jumatano, makundi hayo ya vijana Wazalendo wanaoungwa mkono na jeshi la serikali walichukua udhibiti wa...
  4. kichongeochuma

    Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  5. Mindyou

    Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
  6. R

    Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

    Salaam,Shalom!! Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni. Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
  7. G

    Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  8. eden kimario

    hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  9. R

    Hongera kambi ya Jeshi Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi. Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  10. R

    Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi, kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  11. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  12. Stuxnet

    Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  13. U

    Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  14. Kitimoto

    Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
  15. Meragraphics

    Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

    Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na...
  16. Mzalauliwa

    DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini. Shughuli zake kuu za watu kujipatia...
  17. Mwachiluwi

    Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

    https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
  18. L

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini? UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs...
  19. State Propaganda

    Hatimaye Zelensky akiri hadharani jeshi lake haliwezi kuyarejesha maeneo yake yaliyokombolewa na urusi

    Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014...
  20. kipara kipya

    Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
Back
Top Bottom