Marekani yashambuliwa na Jeshi la Wanamaji la Iran ambalo inadaiwa liliangamizwa

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,775
Reaction score
71,893
Salaaam!

Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli. Vita hutawaliwa na hisia, propaganda, vitisho na woga wa kila namna. Usipokuwa makini unaweza ukabebwa na upepo huo na kuja kustuka umefanya mambo ya ajabu mno.

Marekani ni taifa lenye nguvu mno duniani. Lakini bahati mbaya sana kipindi hiki limekutana na taifa lenye nguvu tofauti na mataifa mengine ambayo limewahi kupambana nayo hivi karibuni. Tokea mwaka 1992, Marekani ameshambulia Iraq, Sudan, Yugoslavia, Afghanistan, Libya na Syria, mataifa ambayo kiuhalisia yalikuwa masikini na madogo.

Waajemi siyo waarabu. Taifa lao ni kongwe kuliko hata Marekani, na lina watu wengi wenye uzalendo na nchi yao. Lakini pia kijiografia ni taifa kubwa sana lenye watu wengi. Marekani asingeweza kupambana na Iran kama ambavyo amepambana na Iraq na Afghanistan, mataifa madogo mno kwa Iran.
===============================================================================

Mwezi uliopita Bwana Donald Trump akaandika mtandaoni kwamba wameliangamiza jeshi lote la maji la Iran, na manowari zake zote zimezamishwa chini kabisa ya Mfereji wa Hormuz. Bahati mbaya mno, Wamarekani wakageuka kuwa wahanga wakuu wa Propaganda zao wenyewe. Tangu jana Manowari za Marekani zimezuiliwa kuingia Mfereji wa Hormuz, na asubuhi hii kama dakika ishirini zilizopita zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa Iran (The Financial Times).

Sasa MADUNYA na MABAZAZI wa humu hubeba kila kitu cha mtandaoni bila kuchakata na kufanya takafuri jadidi. Wao huchagua upande kwasababu za DINI, UJINGA na MASLAHI, ila ukweli ni mchungu. Hivi vita vishaanza kuathiri maisha yao tayari, lakini hawaoni.
Hormuzi Again.png
​

Hormuz Again 2.png
 
View attachment 3583974
​

View attachment 3583976

Una tatizo la Elimu au uelewa wako tu ni mdogo?

Unashindwa hata kuelewa tu tarehe na muda, utawezaje kuelewa content.

Tukio la jana tena lili tofauti jabisa na uwongo ulioweka hapa, wewe unasema limetokea leo asubuhi.

Ngoja yukueleweshe, yawezekana lugha za watu ni tatizo kwako:
Jana meli 2 za kivita za Marekani, zikiwa zinavuka mkondo wa Hormuz, Iran ilituma boats 6 za kivita, ikarusha drones na missiles, nyingine zilienda mpaka UAE. Marekani ikazishambulia boats za Iran, 3 zilizamishwa moja kwa moja, baadhi ya askari wa Iran ndani ya boats hizo walikufa, Iran imethibitisha. Makombora yote yaliyoenda UAE yalidunguliwa na Iron domes, drone 1 ilipiga meli ya UAE na nyingine kituo cha mafuta. Zilizobakia zote zilidunguliwa.

Iran, kwa hofu ya kutengwa na Dunia, imekataa kuwa yenyewe haikurusha kombora wala drone yoyote, na kuwa boats zake zilizozamishwa, zilikuwa boats za kiraia. Hakuna kombora wala drone hata moja iliyogusa meli hizo 2 za kivita za Marekani, zote zimevuka salama.

  • The United Arab Emirates said its air defences intercepted ballistic and cruise missiles fired from Iran, and a fire at an oil facility in Fujairah was reported after a drone attack.
  • Tehran reports that an Iranian military official has told state media that Iran had no plan to attack the UAE.
  • Qatar, Jordan, Saudi Arabia, Kuwait, the Gulf Cooperation Council, France, Germany and the UK have all condemned Iranian missile and drone attack on the UAE.
  • US President Donald Trump has warned that Iran will be “blown off the face of the earth” if any US Navy ships come under fire in the Strait of Hormuz. The threat followed Iranian reports that missiles hit a US naval frigate in the strait, which the US military denied.
  • The US military said it sank several Iranian small boats that attempted to interfere with commercial shipping, as US forces attempt to escort vessels through the blockaded waterway, with Danish shipping company Maersk reporting that a US-flagged vehicle carrier transited the strait safely, under US escort.
  • Iran launched its first missile and drone attack on the United Arab Emirates since a ceasefire with the U.S. took effect on April 8, and it fired two drones at a ship in the Strait of Hormuz, UAE authorities said Monday.
  • The U.S. military said two commercial vessels safely transited the key waterway Monday under the Project Freedom initiative announced by President Trump. Iran fired missiles at ships being protected during the operation, and Mr. Trump said U.S. forces destroyed seven Iranian small boats for trying to interfere.

Maersk says ship transited Strait of Hormuz under U.S. escort​

Denmark's freight giant Maersk said on Tuesday that one of its ships has successfully sailed through the Strait of Hormuz under U.S. escort.

2 U.S. Navy destroyers transit Strait of Hormuz after dodging Iranian onslaught​

Two U.S. Navy destroyers transited the Strait of Hormuz and entered the Persian Gulf after navigating an Iranian barrage, according to defense officials.

The USS Truxtun and USS Mason, supported by Apache helicopters and other aircraft, faced a series of coordinated threats during the passage, the defense officials said. Iran launched small boats, missiles and drones against them in what officials described as a sustained barrage.

Despite the intensity of the attacks, neither U.S. vessel was struck.

Military officials said that defensive measures, bolstered by air support, successfully intercepted or deterred each incoming threat. They added that no projectiles that were launched reached the ships
 
Una tatizo la Elimu au uelewa wako tu ni mdogo? Kwa nini usiandike ukweli ulivyo kuliko kutengeneza hadithi yako?

Kijana mimi nasoma The Financial Times.

Wewe unayasema ya jana, mimi nayasema yanayoendelea saa hizi mubashara.

Hormuz Live.png

Hormuz Live 2.png
​

Huu ndiyo utofauti uliopo baina ya mimi na wewe.....
 
Kijana mimi nasoma The Financial Times.

Wewe unayasema ya jana, mimi nayasema yanayoendelea saa hizi mubashara.

View attachment 3584005
View attachment 3584006
​

Huu ndiyo utofauti uliopo baina ya mimi na wewe.....

Usikimbilie kusema kila mtu ni kijana, unayemwita kijana, yawezekana ni Kaka yako au baba yako.

Hata kama unasikiliza au kusoma sahizi, fuatilia ili ufahamu ni habari ya matukio ya lini. Siyo kila kinachotangazwa au unachosikia wewe leo kimetokea leo. Hayo uliyoyaeleza ni matukio ya jana.
 
Kwanza kabisa, SHIKA ADABU YAKO KIJANA. Baba yangu Mzazi ni mtu wa 1930's hukoo, wewe kijana wa JF ambaye unashindwa kusoma kwa ufahamu ndiyo useme unaweza kuwa BABA au KAKA YANGU kweli. Kaka na Dada zangu tu, wengine washastaafu utumishi wa ummah, wewe ndiyo uweze kuwa kaka yangu mimi ?

Pili, una tatizo kubwa mno la KUSHINDWA KUSOMA KWA UFAHAMU, jambo ambalo ni tatizo lako binafsi. Hayo ya jana umeyolazimisha niyaseme leo baki nayo wewe, mimi nazungumzia kichoendela mubashara leo hii kutoka kwa Correspondents wa The Persian Gulf.
Hormuz Korea.png
​
Hormuz Scale Today.png
 
Kuna nyuzi ukisoma unaona hapa ni kina kirefu bora upite tu kama una aga maiti, sema walokole wanapuyanga hivyo hivyo tu😅
Mzee walokole wana guts Za ajabu sana hata huyo wanaye muita shetani wamemzidi 🤣🤣

Yaani mtu kuanzisha Uzi una Data logic na reference kibao ambazo ili uweze kuzipinga unapaswa uingie Chimbo uje na nondo Tena nondo haswaa , Ajabu anatokea mlokole mmoja out of nowhere anaanza kumdhihaki mtoa mada ,

Jf imepoteza critical thinker Aisee zamani kwenye topic kama hizi watu Tulikuwa tuna jiandaa kuchukua notes 😀 but now days imekuwa kituko sana
 
Mzee wa Atheist ep ya 5 leo nimemwambia hasomi hoja za wengine kwa kina yeye anakimbilia AI kukop na kupest kapanic
 
Ieleweke kwamba Iran ndio wana boats zina kasi zaidi duniani, kuna hizo boat zinaitwa Heydar-110 na na seraj-1, hizo boats zinakimbia sana na zimevunja rekodi ya dunia kufika knots 116 kama 215km/h, kwa anayefahamu speed ya boat majini ataelewa hizo boat ni jinsi gani zinakimbia.

Labda nitoe picha hii, Lamborghini ni mabingwa wa kutengeneza gari zenye speed na luxury, walitengeneza pia boat yenye speed, inaitwa tecnomar lamborghini 63, hii boat ina V12 engine, hio engine ina horsepower 2000, sasa hizo engine zipo mbili kwenye hio boat, kwa ujumla hio boat ina produce 4000 hp, inafika 63 Knots, fananisha na ile ya Iran inafika 116 Knots.

Hii teknolojia ya kutengeneza boats zenye kasi kiasi hiko imeishangaza dunia, na hizo boats wanazo maelfu, wao walijipanga kutengeneza boats kwa ajili ya kukabiliana na meli za kivita za US. Kuna kipindi US walikuwa wanafanya project ya kutengeneza laser weapon ili kukabiliana na hizo fast attack boat.

Lakini niseme siku wakiamua kuingia battle la majini hapo Hormuz, meli za US zitaangamizwa vibaya, maana hizo boat zinabeba anti ship missiles na heavy machine guns na zinakimbia vibaya hata torpedo kuikabili hio boat ni ngumu.

Tujipe muda.
 
Let's just admit that Iran is one among countries with best engineers on the planet.

Using home based industrial power to withstand and repulse the American-Israel Military Colossus is one of the greatest military wonders of the 21st Century. Vietnam won the war but depended heavily on Soviet hardware. Iran just made everything from the scratch.

Talking of the real Aryans...
​
 
Back
Top Bottom