Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
Mkuu hao ni vijana wa jana hawaijui JF ya 2008 kuja mpaka 2015 hapoπππ
Ila Jf Kuna watu wana mwambia Malcolm Lumumba Hana elimu πππππ
Mkuu hao ni vijana wa jana hawaijui JF ya 2008 kuja mpaka 2015 hapoπππ
Ila Jf Kuna watu wana mwambia Malcolm Lumumba Hana elimu πππππ
Ieleweke kwamba Iran ndio wana boats zina kasi zaidi duniani, kuna hizo boat zinaitwa Heydar-110 na na seraj-1, hizo boats zinakimbia sana na zimevunja rekodi ya dunia kufika knots 116 kama 215km/h, kwa anayefahamu speed ya boat majini ataelewa hizo boat ni jinsi gani zinakimbia.
Labda nitoe picha hii, Lamborghini ni mabingwa wa kutengeneza gari zenye speed na luxury, walitengeneza pia boat yenye speed, inaitwa tecnomar lamborghini 63, hii boat ina V12 engine, hio engine ina horsepower 2000, sasa hizo engine zipo mbili kwenye hio boat, kwa ujumla hio boat ina produce 4000 hp, inafika 63 Knots, fananisha na ile ya Iran inafika 116 Knots.
Hii teknolojia ya kutengeneza boats zenye kasi kiasi hiko imeishangaza dunia, na hizo boats wanazo maelfu, wao walijipanga kutengeneza boats kwa ajili ya kukabiliana na meli za kivita za US. Kuna kipindi US walikuwa wanafanya project ya kutengeneza laser weapon ili kukabiliana na hizo fast attack boat.
Lakini niseme siku wakiamua kuingia battle la majini hapo Hormuz, meli za US zitaangamizwa vibaya, maana hizo boat zinabeba anti ship missiles na heavy machine guns na zinakimbia vibaya hata torpedo kuikabili hio boat ni ngumu.
Tujipe muda.
Watu wanapigania uchumi wao sisi tunapigania dini zao. Aliyetuloga alikufa mdomo wazi
Watu wanapigania uchumi wao sisi tunapigania dini zao. Aliyetuloga alikufa mdomo wazi
Wana tuharibia sana Engine yetuMkuu hao ni vijana wa jana hawaijui JF ya 2008 kuja mpaka 2015 hapo
Yeyote anayeingiza huu mgogoro kwenye masuala ya udini , ujue uwezo wake wa kuchakata mambo, kutathmini na kutafakari upo chini.Watu wanapigania uchumi wao sisi tunapigania dini zao. Aliyetuloga alikufa mdomo wazi
Kwa muktadha huo huo uliodadavua kuna wengine wana support Iran kwa sababu ni dola ya kiislamu...Yeyote anayeingiza huu mgogoro kwenye masuala ya udini , ujue uwezo wake wa kuchakata mambo, kutathmini na kutafakari upo chini.
Huu mgogoro una athari kwa dunia yote ndio maana watu wanafuatilia, mtu ukishaisifu Iran unaonekana wewe ni muislamu, anakuja wa dini nyingine na kuchukua mjadala kuupeleka kidini. Wakati hii vita haihusiani na dini.
Kwa akili za kawaida tu US na Israel wanachofanya si sawa, na ili uelewe si sawa lazima kwanza uwe na sifa tajwa hapo kinyume na hao wanaoingiza hili suala kidini, kwanza uwe na uwezo mkubwa kuchakata mambo, kutahmini mambo kwa undani na uwezo mkubwa wa kujitafakari.
Ndio maana watu wanao iponda US ukiwafuatilia ni watu waliofuatilia vitu, wanajua mambo mengi na historia , wana facts.
Ukishakuwa na hizo sifa hutoona tena haya ni masuala ya kidini, lakini kama hizo sifa hazipo ndipo unakuwa wale wale wa 'Israel ni taifa teule' , 'Iran ni magaidi' , 'Hezbollah ni kikundi cha kigaidi' , 'Iran ipigwe ichakae' ukifuatilia wengi wanaotoa hizo kauli utakuta wana sifa zinafanana ama tabia (Collective Behavior) ama fikra kundi(groupthink).
kwanza hawajui mengi kuhusu historia, uwezo mdogo wa kiakili na kuchanganua mambo kwa kifupi hawajielewi, hata uchambuzi wao utagundua hawajui wanacho kizungumza. Haijalishi umri, umri , jinsia , muonekano ama cheo.
Ni kama lile toto la Museveni nadhani mkuu wa majeshi, jamaa ni lipumbavu hadi aibu. Nawasikitikia wana Uganda.
To understand this, you first need to have an open mind...Let's just admit that Iran is one among countries with best engineers on the planet.
Using home based industrial power to withstand and repulse the American-Israel Military Colossus is one of the greatest military wonders of the 21st Century. Vietnam won the war but depended heavily on Soviet hardware. Iran just made everything from the scratch.
Talking of the real Aryans...
Nakubaliana na wewe, huu mgogoro kuuweka kidini katika pande zote, huyo mtu achunguzwe akili yake.Kwa muktadha huo huo uliodadavua kuna wengine wana support Iran kwa sababu ni dola ya kiislamu...
Watu wanaochambua hii vita kwa sababu ya uislamu au ukristo au uyahudi ni makanjanja wa mwendo wa SGR....
Hii vita ni uchumi na control ya midle east inapiganiwa. Kuna wanaotamani iendelee ili wapate faida zaidi na kuna wanaotamani iishe ili maisha yapate haueni.
Marekani anapigania pertodollar yake Iran anapigania uhuru wake....
Kanjanja anapigania uislam au ukristo wake.
Iran ina jam GPS hapo na nilisoma, kuna baadhi ya meli captain wanaona wapo nchi kavu, huku meli nyingine zikionekana zipo airport.
MADUNYA nazani ni wingi wa "DUNYA" lakini MABAZAZI ni wingi wa "BAZAZI" kama Niko sawa, swali:, je DUNYA na BAZAZI ni mtu wa aina gani mkuu?, mana tusije tukamuita Dunya au Bazazi mubashara tukala mkong'oto uku mtaani.Salaaam!
Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli. Vita hutawaliwa na hisia, propaganda, vitisho na woga wa kila namna. Usipokuwa makini unaweza ukabebwa na upepo huo na kuja kustuka umefanya mambo ya ajabu mno.
Marekani ni taifa lenye nguvu mno duniani. Lakini bahati mbaya sana kipindi hiki limekutana na taifa lenye nguvu tofauti na mataifa mengine ambayo limewahi kupambana nayo hivi karibuni. Tokea mwaka 1992, Marekani ameshambulia Iraq, Sudan, Yugoslavia, Afghanistan, Libya na Syria, mataifa ambayo kiuhalisia yalikuwa masikini na madogo.
Waajemi siyo waarabu. Taifa lao ni kongwe kuliko hata Marekani, na lina watu wengi wenye uzalendo na nchi yao. Lakini pia kijiografia ni taifa kubwa sana lenye watu wengi. Marekani asingeweza kupambana na Iran kama ambavyo amepambana na Iraq na Afghanistan, mataifa madogo mno kwa Iran.
===============================================================================
Mwezi uliopita Bwana Donald Trump akaandika mtandaoni kwamba wameliangamiza jeshi lote la maji la Iran, na manowari zake zote zimezamishwa chini kabisa ya Mfereji wa Hormuz. Bahati mbaya mno, Wamarekani wakageuka kuwa wahanga wakuu wa Propaganda zao wenyewe. Tangu jana Manowari za Marekani zimezuiliwa kuingia Mfereji wa Hormuz, na asubuhi hii kama dakika ishirini zilizopita zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa Iran (The Financial Times).
Sasa MADUNYA na MABAZAZI wa humu hubeba kila kitu cha mtandaoni bila kuchakata na kufanya takafuri jadidi. Wao huchagua upande kwasababu za DINI, UJINGA na MASLAHI, ila ukweli ni mchungu. Hivi vita vishaanza kuathiri maisha yao tayari, lakini hawaoni.
View attachment 3583974
View attachment 3583976
Manake nayeye kabla ajafa atakuwa kalogwa na Wazungu..Watu wanapigania uchumi wao sisi tunapigania dini zao. Aliyetuloga alikufa mdomo wazi
Upo sahiii kwa %100 tukikumbuka kile kisa cha ile Vessel yenye askari w Marekani walikiri kupoteza mawasiliano kabisa walipoingia tu maji ya IranianIran ina jam GPS hapo na nilisoma, kuna baadhi ya meli captain wanaona wapo nchi kavu, huku meli nyingine zikionekana zipo airport.
HawaIran kwa kweli hii tabia ya kuipeleka vessel airport haikubaliki.
Lakini inasaidia kujilinda dhidi ya drones na missiles ambazo ni gps guided, na pia ku confuse military vessels na meli zingine za mizigo.
Kwa chinese na beidou yao inasemekana military grade beidou ni ngumu sana kuifanyia jamming, japo sio kwamba itashindikana kabisa kuwa jammed. Hivyo Iran inatumia GLONASS na BeiDou.
.ukweli ni mchungu. Hivi vita vishaanza kuathiri maisha yao tayari, lakini hawaoni.
Sasa wewe ndio unafanya nini, una copy ujinga unakuja ku paste huku, yaani wewe vyanzo vyako ndio vya kweli, algorithm siku zote inakuletea kile unataka kukisikia hata kama cha uongo.Una tatizo la Elimu au uelewa wako tu ni mdogo?
Unashindwa hata kuelewa tu tarehe na muda, utawezaje kuelewa content.
Tukio la jana tena lili tofauti jabisa na uwongo ulioweka hapa, wewe unasema limetokea leo asubuhi.
Ngoja yukueleweshe, yawezekana lugha za watu ni tatizo kwako:
Jana meli 2 za kivita za Marekani, zikiwa zinavuka mkondo wa Hormuz, Iran ilituma boats 6 za kivita, ikarusha drones na missiles, nyingine zilienda mpaka UAE. Marekani ikazishambulia boats za Iran, 3 zilizamishwa moja kwa moja, baadhi ya askari wa Iran ndani ya boats hizo walikufa, Iran imethibitisha. Makombora yote yaliyoenda UAE yalidunguliwa na Iron domes, drone 1 ilipiga meli ya UAE na nyingine kituo cha mafuta. Zilizobakia zote zilidunguliwa.
Iran, kwa hofu ya kutengwa na Dunia, imekataa kuwa yenyewe haikurusha kombora wala drone yoyote, na kuwa boats zake zilizozamishwa, zilikuwa boats za kiraia. Hakuna kombora wala drone hata moja iliyogusa meli hizo 2 za kivita za Marekani, zote zimevuka salama.
- The United Arab Emirates said its air defences intercepted ballistic and cruise missiles fired from Iran, and a fire at an oil facility in Fujairah was reported after a drone attack.
- Tehran reports that an Iranian military official has told state media that Iran had no plan to attack the UAE.
- Qatar, Jordan, Saudi Arabia, Kuwait, the Gulf Cooperation Council, France, Germany and the UK have all condemned Iranian missile and drone attack on the UAE.
- US President Donald Trump has warned that Iran will be βblown off the face of the earthβ if any US Navy ships come under fire in the Strait of Hormuz. The threat followed Iranian reports that missiles hit a US naval frigate in the strait, which the US military denied.
- The US military said it sank several Iranian small boats that attempted to interfere with commercial shipping, as US forces attempt to escort vessels through the blockaded waterway, with Danish shipping company Maersk reporting that a US-flagged vehicle carrier transited the strait safely, under US escort.
- Iran launched its first missile and drone attack on the United Arab Emirates since a ceasefire with the U.S. took effect on April 8, and it fired two drones at a ship in the Strait of Hormuz, UAE authorities said Monday.
- The U.S. military said two commercial vessels safely transited the key waterway Monday under the Project Freedom initiative announced by President Trump. Iran fired missiles at ships being protected during the operation, and Mr. Trump said U.S. forces destroyed seven Iranian small boats for trying to interfere.
Maersk says ship transited Strait of Hormuz under U.S. escort
Denmark's freight giant Maersk said on Tuesday that one of its ships has successfully sailed through the Strait of Hormuz under U.S. escort.
2 U.S. Navy destroyers transit Strait of Hormuz after dodging Iranian onslaught
Two U.S. Navy destroyers transited the Strait of Hormuz and entered the Persian Gulf after navigating an Iranian barrage, according to defense officials.
The USS Truxtun and USS Mason, supported by Apache helicopters and other aircraft, faced a series of coordinated threats during the passage, the defense officials said. Iran launched small boats, missiles and drones against them in what officials described as a sustained barrage.
Despite the intensity of the attacks, neither U.S. vessel was struck.
Military officials said that defensive measures, bolstered by air support, successfully intercepted or deterred each incoming threat. They added that no projectiles that were launched reached the ships
Huu uongo mkubwa.Marekani ikazishambulia boats za Iran, 3 zilizamishwa moja kwa moja, baadhi ya askari wa Iran ndani ya boats hizo walikufa, Iran imethibitisha.
Walokole wana matatizo makubwa sana ya akili sema ndio hivyoKuna nyuzi ukisoma unaona hapa ni kina kirefu bora upite tu kama una aga maiti, sema walokole wanapuyanga hivyo hivyo tuπ
Umemaliza Kila kitu hapaKwa muktadha huo huo uliodadavua kuna wengine wana support Iran kwa sababu ni dola ya kiislamu...
Watu wanaochambua hii vita kwa sababu ya uislamu au ukristo au uyahudi ni makanjanja wa mwendo wa SGR....
Hii vita ni uchumi na control ya midle east inapiganiwa. Kuna wanaotamani iendelee ili wapate faida zaidi na kuna wanaotamani iishe ili maisha yapate haueni.
Marekani anapigania pertodollar yake Iran anapigania uhuru wake....
Kanjanja anapigania uislam au ukristo wake.