DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
View: https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ
Video: MATUKIO DAIMA MEDIA
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha akiwa kituo cha polisi.
Heche ametoa Rai hiyo leo Juni 15, 2026 baada ya kuitembelea familia ya Ibrahim Myovela eneo la Ipogolo mjini Iringa .