Polisi Wavamia Nyumbani kwa Mbyella, Wachukua T-Shirt, Kofia, Nguo na Bendera za CHADEMA

Vonzelewsk

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
93
Reaction score
283
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”

Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.

Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.

Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.

Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.

Kuuza vifaa vya chama kama nguo, kofia, Bendera siyo kosa kisheria.

1780220033726.jpg

​
 
GENGE LA POLISI HALINA AKILI BAADA YA KIDHIGA KUWAPIGA SARE ZAO SASA WANAVAMIA SARE ZA CHADEMA
 
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”

Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.

Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.

Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.

Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.

Kuuza vifaa vya chama kama nguo, kofia, Bendera siyo kosa kisheria.
​
View attachment 3598303
Huu ni uharamia na samia atalipa yote haya ipo siku.
 
huenda majambazi yameshachukua chao watu wanatunga porojo zingine kabisa 🐒
 
mbona wanahangaika na vitu vya kijinga
Kwa sababu ni wapumbavu. Nia ya kuchukua vifaa hivyo ni kwenda kufanyia uhalifu kisha waisingizie Chadema. Ninaposema kuwa Polisi ni majambazi wanaovaa uniform. Kwa ninj waende usiku wa manane na kuvunja nyumba ya mtu, huu ndiyo ujambazi wenyewe.
 
Na ndicho wanachotaka kufanya. CHADEMA inabidi iutangazie umma.
 
Back
Top Bottom