jeshi

  1. Teko Modise

    Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  2. M

    Jeshi la Ulinzi la Yemen laionya Israel kuwa hata kama inauza assets zake za baharini ili kukwepa vikwazo vya jeshi la Yemeni, Vitachapwa tu!

    Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza meli zake na asstes zake mbalimbali za baharini kwa watu wengine ili kukwepa vikwazo vya baharini...
  3. flamini

    Website ya Jeshi la Polisi imeboreshwa na nimeipenda

    Waungwana Hamjambo? Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko. Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na boldness of it. Pia nimeipenda walivoweka an update feed Kwa post a recent video of police force...
  4. Komeo Lachuma

    Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
  5. ESCORT 1

    Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  6. Technophilic Pool

    Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  7. green rajab

    Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

    ⚡️JUST IN Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%. Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola...
  8. Vichekesho

    Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

    Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana. Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
  9. M

    TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

    Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu. Source: Aljazeera English.
  10. MakinikiA

    Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  11. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

    wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
  12. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  13. Damaso

    Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. https://youtu.be/u-0S0jmUsuQ?si=lWVDbgKVZmI5KlP6...
  14. U

    Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine

    Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe Taarifa kamili hapo chini: Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military battled Hezbollah in Lebanon and the Iran-backed terror group fired dozens of projectiles at north...
  15. Roving Journalist

    Waziri Masauni akabidhi magari 77 kwa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
  16. Gol D Roger

    IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

    Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima. Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa...
  17. Mindyou

    LGE2024 Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

    Wakuu, Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo. Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
  18. U

    IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF. Walihojiwa mara moja baada ya...
  19. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  20. U

    News alert Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa nchini Lebanon na kuua watu 51 huku 174 wakijeruhiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time 07:46 BST The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes...
Back
Top Bottom