Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio
Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.
Pia kuna uwezekano hata...
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea...
Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania.
Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi...
Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA wasitufungie kabisa Kusajili na kwa upande wa Wachezaji waliobakia ( ila tunawahitaji ) na wale Wapya...
Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke.
Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo.
Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi...
Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa?
Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo?
Ac Milan wamestaafisha jezi namba 3 ya Maldini kwakuwa alifanya makubwa sana ndani ya Milan akiwa kama...
Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale!
Namna...
Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu na nyeupe.
Katika jambo lililoshangaza wengi, siku ya mechi ya USMA kocha mkuu wa...
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi na atawafunga Dar es Salaam na kule Kwao Jijini Algiers nchini Algeria.
Poleni na leo nina Furaha...
Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993.
Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu fainali. Mtu anavaa jezi bila hata kuwa na Mkataba na sharp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.