Hello bosses and roses
Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
Umofia kwenu!
Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao.
Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya mbalimbali ambazo zitakuwa zinatumika kwa msimu ujao.
Karibuni...
Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
Kimsingi naona mwaka huu wafanyakazi utumishi wa umma wanaotarajia kusheherekea siku yao maalum wamepigwa na kitu kizito kichwani maana hizo t-shirts hazina mvuto wowote na zimekuwa zikijirudia mwaka kwa mwaka na huenda ni matoleo ya miaka iliyopita yakabaki ndio wanarudishiwa licha ya michango...
Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili.
Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy aliyokuwa amebaki nayo kwa wakati ule na kidogo aanguke baada ya kutoa pasi ila akamudu vyema.
Pia...
Anasema licha ya changamoto ambazo Manji alipitia, lakini aliibeba klabu hiyo wakati wa uongozi wake na hadi anaondoka Yanga, pesa aliyoikopesha klabu hakuwa amelipwa.
"Alitoa pesa nyingi na hazikurudi hadi anaondoka Yanga, nikiwa katibu mkuu niliitwa Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa.
Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers imeongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen...
Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB...
Ofisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kabla ya Februari 18, 2023 mzigo wa jezi mpya utakuwa umefika Tanzania ukitokea Ethiopia ambako umekwama.
Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hilo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za...
Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu.
Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo...
Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga ningemtafuta huyu aliyetoa wazo hili maana ni msaliti mkubwa sana atakayeenda kuiharibia timu si tu...
Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi.
Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo klabuni.
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki
Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo
Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
Moja kwa moja,
Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars.
Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo....
1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine.
2. Kocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.