Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe.
Wote tulifuatilia msafari wa bi Perosi. Ndege, meli za kivita zilikuwa zimeizunguka Taiwan, lakini...