Katika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala...