Mbunge aliyemaliza muda wake Jimbo la Rombo, ambaye ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 5,125 kati ya 6,156 zilizopigwa.
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Mossoud Melimeli amemtangaza Profesa Mkenda kuwa mshindi akifuatiwa na...