jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Wafanyabiashara na viongozi wa ccm kata ya Loya jimbo la Igalula,Acheni kuhujumu ukarabati wa Bara Bara KWA kumhonga mkandarasi!!

    Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi ! "Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu...
  4. L

    Jimbo la Mississippi la Marekani lakumbwa na msukosuko wa maji ya bomba

    Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba. Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
  5. peno hasegawa

    Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

    Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni. Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
  6. Diversity

    SI KWELI Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022

    MADAI Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
  7. peno hasegawa

    Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020 hadi 2022

    Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache. Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba...
  8. B

    Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  9. Gama

    Ukraine yaimarisha mashambulizi katika jimbo la Kherson linalokaliwa na Urusi

    Majeshi ya Ukraine yamefanikiwa kufurusha makombora na kuharibu daraja muhimu linalotumiwa na Urusi kupeleka bidhaa muhimu kwenye jimbo waliloteka la Kherson. Lengo la mashambulizi hayo ni kuwanyima huduma wapiganaji wa urusi walioko katika jimbo hilo. Ukraine steps up attacks on...
  10. L

    Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani

    Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.
  11. mchuku wa mangi

    2025 vigogo hawa watatoana jasho jimbo la Mwanga

    Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli. Jimbo la Mwanga ni moja ya majimbo nane ya uchaguzi mkoani Kilimanjaro ambalo kwa sasa mbunge wake...
  12. M

    KWELI Ukweli kuhusu mazingira ya Shule ya msingi Litingi, jimbo la Mtama

    Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama. Ukweli upoje? Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Maajabu Jimbo la Igalula kata ya Loya, Taasisi za umma na Serikali kutounganishwa kwa umeme

    Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme! Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
  14. B

    Mchango wa Luhaga Mpina (MB) jimbo la Kisesa (CCM) - kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2022/2023

    MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango amewasilisha Muswada wa Sheria...
  15. A

    Shaka Hamdu Shaka, tupia jicho Jimbo la Ukonga

    Hili Jimbo linadhalilisha sana Jiji la DSM na CCM na wapenda maendeleo. Mwenezi fumbua jicho lako eneo hili; linawadhalilisha, linawakosesha wananchi imani na Serikali akiwemo Rais mno. Shuka chini Shaka, usiishie kwa wajumbe watakudanganya kwa maslah madogo binafsi; kama anavyokudanganya...
  16. GENTAMYCINE

    Hongera Askofu Mstaafu Mkude wa Jimbo Kuu la Morogoro Kanisa la Mt. Patrick ( Patrice ) kwa Ukristo huu wa Kizalendo wa Leo

    Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga. Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada. Ni kwamba mara...
  17. GwaB

    Kilalangona chanzo cha mapato Jimbo la Muhambwe ilichokosa usanifu.

  18. SULEIMAN ABEID

    Luhaga Mpina ataka maeneo ya kiuchumi yatungiwe sheria

    Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
  19. chiembe

    Askofu Shoo na Bagonza waanza mkakati wa kuwaondoa maaskofu, wachungaji wasiojihusisha na siasa. Wavunja Katiba kumuondoa Dk. Mwakitali Jimbo la Konde

    Askofu Dk Shoo na Bagonza wanajitambulisha kama vinara wa kupenda haki na kutii katiba, katika Jimbo la Konde, wamedhihirisha rangi yao, wamevunja katiba ya kanisa ili kumuondoa Askofu Dk. Mwakitali. Dk Mwakitali ni moja ya maaskofu wa KKKT ambao wamejikita katika kazi ya kichungaji zaidi na...
  20. peno hasegawa

    Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
Back
Top Bottom