Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani.
Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi.
Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/=
Sasa Kuna mtu amenishauri niende mahakamani niwe nimejaza Ile deed pool gharama haitazidi 15k
Naombeni ushauri...
Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini.
Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani.
Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka.
Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali.
Accounts...
Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako.
Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964
Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika.
But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" .
Tanganyika means = The first Land ama nchi ya kwanza/ .
How and why?
Tanga = A kwanza/ Alie tangulia.
Una...
Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na:
1. Mzigo Mkubwa wa Kodi
• Kodi ya VAT ni...
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said
Kabla ya hapo, eneo hilo...
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
Mwanzoni wakati kampuni inaanzishwa kilitengenezwa kinywaji cha limao(lemon) mmiliki Charles Leiper Grigg akatoa kazi kuwa anatafuta jina la kipekee na linalo vutia macho ya watu kwaajili ya kinywaji hicho kipya cha limao(lemon).
Wabunifu walitengeneza majina mengi, ila katika majina yote ni...
1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.
Kama una akina john wengine wataje
I salute you kinsmen.
Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye.
Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake?
Ifike muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.