kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.
Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia.
Je, kuna ukweli kwenye hili?
Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi .
Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema.
Majina...
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi.
Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza
Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa
Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.
Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.
Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui
Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
Anonymous
Thread
chuo
dar
dar es salaam
dit
jina
technology
wanafunzi
wiki
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala...
Heshima kwenu nyote.
Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina.
Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu.
Mwenye kufahamu...
Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)?
Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona
Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
baada
daftari la wapiga kura
geita
hatimaye
jina
kuelekea 2025
kupiga kura
kura
lge 2024
mkali
msimamizi
msimamizi wa uchaguzi
mtifuano
mvutano
tamisemi kusimamia uchaguzi
uchaguzi
uchaguzi serikali za mitaa 2024
uchaguzi wa serikali za mitaa
wapiga kura
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.