Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake.
Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:- zinazohusiana:
Ufaransa - Kifaransa
Ujerumani - Kijerumani
Hispania - Kihispania
Italia -...
Habari wakuu,
Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara.
Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara.
Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la...
Kwanza nitangulize shukrani.
Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe.
Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi
li siyo jina la kutamka hovyohovyo. Unakemea sijui pepo sijui laana nusu saa nzima unataja jina la Yesu. Kwa jina la Yesu, kwa jina la...
Kuna mkuu humu jana ameniambia kuwa huu mti(Palm) kwa kiswahili unaitwa Mkoche(Kisayansi Hyphaene Coriacea) Unapatikana pwani ya Afrika Mashariki kutoka Somalia hadi South Afrika na Namibia. Huko kusini ya Afrika unajulikana zaidi kama Ilala.
Kuna uwezekano mkubwa jina Mikocheni limetokana na...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu.
Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
JINA LAKE KAMILI NI JUMBE SHOMARI JAHAZI
Picha hiyo hapo chini ni picha maarufu sana.
Katikati ni Abushiri bin Salim Al Harith, wa kwanza kushoto ni Jahazi na kulia ni Makanda bin Mwinyimkuu.
Vitabu vyote vya historia vinatambulisha Jahazi kwa jina moja tu la Jahazi.
Leo kitukuu chake Jahazi...
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi?
Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi dunia ya tatu ni mambuzi jike? Yaani... Hebu vuta picha tu. Sasa kama tumeshawapa hicho cheo tutegemee...
Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla.
Katika jamii za kale kuna tamaduni...
Siri ya dunia ni kubwa yenye kikundi kidogo au watawala waliopo duniani na nyuma yao kwa ajili ya kuendesha dunia.
Nimeona nilete mada hii ili mjiulize kwa ufupi sana kuhusu maisha yenu na vizazi vyenu kwenye mijadala mingi mnayozuka nayo hapa JF.
4D ni jina lenye maana nyingi ila kwa mada...
Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu.
Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake
Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili za kumpenda licha ya uzuri wa sura na rangi aliokuwa nao. Tumempachika jina na kumuita Wakala Eunice...
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.
Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice.
Yaani nimeumia...
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM.
Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.