jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ali Nassor Px

    Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

    ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa. Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na...
  2. Black Butterfly

    Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kumnyimwa malezi makini

    Chaguo la kupata mtoto wa kike au wa kiume imekuwa ikiwatesa wazazi wengi kwa muda mrefu sana, hasa baada ya kupata mtoto tofauti na jinsia waliyoitarajia, yaani mzazi alipenda apate mtoto wa kike lakini akapata mtoto wa kiume, au wa kiume akapata wa kike. Wazazi hawa baada ya kupata mtoto nje...
  3. D

    Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  4. Joshboney

    SoC02 Jinsi mkasa huu utakavyobadilisha Taifa la leo!

    Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka nakutaka kuitupa ukutani! lakini kwa kuishiwa nguvu aliishia kuigonga gonga kwenye mapaja yake akiwa...
  5. EGF

    SoC02 Tushikamane katika suala la kukuza usawa kwa jinsia ya kike

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
  6. AbuuMaryam

    Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

    Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...? https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70 Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
  7. M

    Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  8. bahati93

    Serikali ipige marufuku viwatilifu vyenye "Atrazine"

    Wanajamii mambo sio mambo, leo nitawapasha habari juu ya sumu ya kuulia magugu Atrazine. Hii sumu inatumiwa sana na wakulima katika kuua magugu katika mashamba makubwa ya mazao mbalimbali: miwa, mahindi. Sasa kwa nini hii sumu ni Nongwa? Mwaka 2010, Dr. Tyrone Hayes alifanya utafiti kwa Vyura...
  9. Analogia Malenga

    Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  10. L

    Mlinda amani wa Zimbabwe kupokea Tuzo ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya UM kwa mwaka 2021

    Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021. Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
  11. Wababa13

    Huisha (update) taarifa za Jinsia katika kuomba kazi za Sensa

    Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia. Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni. Login ili ku-update kila la kheri.
  12. The Sheriff

    Nguvu ya Kila Mmoja Bado Inahitajika ili Kufikia Lengo la Ustawi Usiobagua Jinsia Katika Kila Nyanja

    Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa. Ukosefu wa usawa wa...
  13. Kiokotee

    Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  14. Frumence M Kyauke

    Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
  15. evangelical

    Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  17. Narumu kwetu

    Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

    kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume, Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu alipoingia bleed basi kuna uwezekano wa kupata mtoto wa kike,na kama itaanzia siku ya 14-17,basi kuna...
  18. M

    TUJADILI: Wizara ya Wanawake, Jinsia na Makundi Maalumu. Makundi Maalumu ni yapi hayo?

    Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU. Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo? Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema. Huko...
  19. Chakorii

    Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

    Hakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
  20. mama D

    Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
Back
Top Bottom