Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake.
Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?
Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.
"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.
Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa.
Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana.
Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me.
Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha...
Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali.
Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli.
Ni nchi ambayo watu...
Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao.
Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa ndani ya Katiba ya nchi, hauendeshwi kwa kutumia jinsia, kigezo hicho hakuna, Suruali au dela la mtu...
🔏 Urafiki unawezekana bila ngono?
Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya:
Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia?
Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako?
Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI- 12, July 2021
Wadau / wanaharakati watetezi wa haki za Wanawake, Vijana na Watoto wamependekeza Tume ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ishirikishe wajumbe wengine kutoka sekta mbali mbali zikiwamo asasi za kiraia ili kuangalia, kujadili, kushauri na...
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.
Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE
Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
Nina maswali machache sana.
Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba?
Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
Achana na jini mahaba nazungumzia pepo...jini mahaba hutulizana sehemu moja na kwa sehemu kubwa jinsia yake ni kiumeni...kamwe huwezi kukuta jini mahaba lina pepo la ngono...
Jini mahaba linachukia uchafu, linachukia jhanaba, linapenda sana usafi, halipendi kuchanganya ama kuchangia penzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.