wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
" Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!"
" Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"...
Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika andiko hili, tutachunguza sababu za usumbufu wa upatikanaji wa daladala nyakati za jioni kwa kujaa...
UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu.
Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria.
Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya ukatikaji wa umeme mara kwa mara ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo fainali hiyo inachezwa leo jambo...
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
#CCMImetimia
#KaziIendelee
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
JIONI MOJA NA BI. TITI NYUMBANI KWAKE UPANGA MIAKA YA 1980
Nimewakuta watoto hawa leo asubuhi hapa Ikwiriri, Rufijib wanaitazama picha ya Bi. Titi nikawaomba tupige picha mimi na wao na Bi. Titi.
Watoto hawa wamenikumbusha siku moja jioni moja kiasancha miaka 30 iliyopita nilipokwenda nyumbani...
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Msemo.....
"Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu"
Wimbo.....
"Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...."
Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
Ila Mbowe amepitia mengi sana!
Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya na bwana Mbowe uliopelekea wakubwa wale nusra wazichape.
Kisanga kilianza pale Mbowe mchango wake...
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
OFFA OFFA
iPhone 7 plus,
450,000 Tsh.
iphone X
600,000 Tsh
Iphone X Max
750,000 Tsh
Simu hizi ni mpya new, zinakuja toka china.
Weka order yako haraka. Pesa utalipa baada ya kupewa simu.
Sharti: Uwe Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.