Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza.
Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box.
Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22.
Kati ya matarajio ya bajeti...
Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA.
Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria.
Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani...
Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni...
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC.
Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni.
January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali.
PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
Sijui ni mimi pekee yangu na jirani zangu wawili ambao ndiyo tulikishudia chombo hicho, ama ilitokea pia kwa watu wengine. Ilikuwa jana yapata saa moja jioni, giza ndiyo kwanza limeingia, ile tu natoka nje ya geti la uzio wa nyumba yangu kwenda club kuangalia pambano la soka kati ya Liverpool na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.