MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi.
Mgombea Urais kupitia Chama cha...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu...
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes
Wewe unahisi...
Habari wanaJamiiForums,
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Historia ya Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite.
Marehe mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mtoto Wa Mfugaji. Alizaliwa Katika Kijiji Cha Marwa, Wilaya Same Mkoa Wa Kilimanjaro, Wazazi Wake Walihamia Mererani Wakitokea Kijiji Cha Marwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Malisho Ya Mifugo Yetu.
Alipokuwa Mdogo, Alikuwa...
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo, IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii...
Na Malisa GJ
Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.
Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
Habani wana JF
Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii!
Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa kama kuna Matunda matamu lakini ni Magumu kuyala kama usipokuwa Imara ni ' Maembe ' ya kutoka Mkoani Mtwara. Ila pia hakuna Mkoa ambao una Mawe magumu na hatari tena yaliyo na Ncha Kali ambayo inaweza Kufanya Embe la Mtwara ' limenyeke ' lenyewe Kiulaini kama...
JJIWE HILI JIWE GANI HAPA KWETU KIJIJINI?
Kwenye mwanga waliona, kwenye giza hulioni,
Waliokwisha liliona, wakatoa zao warn,
Wa kijiji wakagoma, wakaziba zao mboni,
Jiwe hili Jiwe gani, hapa kwetu kijijini?
Wale waliolileta, nao sasa wanajuta,
Linawapiga mieleka, na viuno kuvunjika,
Wasotaka...
Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo.
Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk
Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha
Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1
Baadae...
leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi.
Prof. Ibrahim Juma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.