Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
======
Mkuu wa Mkoa wa Dar...
Kifaa hiki ni kawaida kukikuta kwenye majiko hasa ya wenye nazo. Jiwe hili licha ya kuwa ni urembo mzuri pia hudumu kwa miaka mingi.
Historia inatuonyesha walioanza kutumia jiwe kupondea viungo na dawa walikuwa ni Wamisri wa kale. Baadae Wagiriki pia waliiga utaratibu huu hasa matabibu na...
'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale.
Hii inatupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.