jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. More Chances

    Tuliopita Mlale Jkt 2015 kwa mujibu wa Sheria tukutane Hapa

    Tuliopita Mlale jkt 2015 tukumbushane ya kipindi kile. Mimi namkumbuka sana Afande Lyimo afande mmoja mashuhuri sana. Afande Mbise , Afande Mkulima na wengine kibao Machenja ya usiku na baridi la songea huku mnapigwa nua. 🤣🤣🤣 Nani alozingua akapigwa Doso la vasco dagama ? Namkumbuka sana...
  2. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: SUMA JKT GUARD: Mtegoni rushwa, Walalamikiwa

    DAR ES SALAAM: Kampuni ya JESHI SUMA JKT inayomiliki walinzi Dar es salaam na mikoani, imelalamikiwa na watu mbalimbali kuhusu rushwa. Walinzi wa kampuni hiyo hasa wa UTUMISHI-DAR ES SALAAM, pale FERRY upande wa Kigamboni na Magogoni nao ndio wanaongoza. Wale pale UTUMISHI wana bajaji zao kama...
  3. Mwl Athumani Ramadhani

    Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  4. Roving Journalist

    Waziri Stergomena alivyozindua Kamati Tendaji ya JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax (Mb) amezindua Kikao cha Kwanza cha Kamati Tendaji ya Jeshi la Kujenga Taifa, baada ya kuiunda rasmi tarehe 12 Agosti, 2022. Kikao hicho cha kwanza na cha aina yake, kilifunguliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na...
  5. VUTA-NKUVUTE

    Brigedia Jenerali Mabena, wilayani hakuna matangazo ya mafunzo ya JKT uliyoyatangaza

    Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania. Ukawataka watanzania wazalendo wajitokeze na kujiunga na mafunzo hayo. Vijana wenye sifa zitakiwazo...
  6. K

    Rais Samia wakumbuke vijana waliomaliza Mkataba JKT, Mirerani

    Nawasalimu wanajamvi, Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna vijana tunakutana nao mtaani wamelitumikia JKT miaka 3 hadi 4 katika shughuli mbalimbali. Hivyo hawa...
  7. Mivyumba

    Askari wa Suma JKT asiyejielewa!

    Jana kwenye mida ya Saa 21:30 hivi Usiku, nilikuwa Kituo cha Feri Ndani ya Daladala za Machinga Complex tukiwa na abiria wengine, tukisubiri gari lijae tuondoke. Gari lilivyojaa, dereva alianza kuondoa gari Taratibu kuingia barabarani! Mara ghafla,akapanda huyu ASKARI wa SUMA JKT akiwa na pingu...
  8. Jidu La Mabambasi

    Bashe ulipitia JKT kweli?

    Hapa Waziri kayakoroga! Tuliopitia JKT ,tena kwa mwaka mzima, tunajua kuwa huwezi kuchanganya mavazi ya kijeshi na ya kiraia. Hapo pichani gazeti ka Guardian leo page 2, waziri kavaa Olive Military uniform , halafu na kapelo ya mtaani. Kwa hizi military uniforms inabidi JWTZ itoe mwongozo jinsi...
  9. K

    Ushauri: Serikali iruhusu vijana kuajiriwa kama mercenaries

    Niliupitia uzi wa Taikon wa fasihi bwana ROBERT HERIEL unaosema ili tufanikiwe kupata maendeleo lazima tuzivamie nchi nyingine. Niwe muwazi mawazo haya ya huyu self-claimed taikon wa fasihi ni ukweli ambao hata huitaji akili kuukubali Kutokana na huo ukweli ambao iko mifano mbalimbali...
  10. BigTall

    Waziri Dkt Stergomena akabidhi zawadi za Wafanyakazi Bora kwa watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi. “Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
  11. GENTAMYCINE

    Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  12. frangwi12

    Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  13. contask

    Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

    Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
  14. X

    JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  15. JanguKamaJangu

    Wanafunzi Waliohitimu kidato cha sita Mwaka 2022 waitwa JKT

    Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena amewaita vijana wote waliohitimu kidato cha sita 2022 kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa mujibu wa sheria. Brigedia Jenerali Mabena ametoa wito huo leo Jumanne Mei 31...
  16. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  17. The Boss

    Suma JKT walifanyiwa auditing na CAG?

    Hivi kuna ripoti yeyote ya CAG kwa hawa sumaJKT? Ya mwaka wowote? Kama ipo naomba link..
  18. E

    Mafunzo ya JKT yamepitwa na wakati

    Naomba kutofautiana na watanzania wengi ambao bado wanaamini JKT inawajengea vijana, uzalendo n.k Jana nimeshuhudia ki video kikitembea mitandao kikionyesha vijana waki "craw" kwenye tope. kwa kweli nilikuwa very much shocked na kujiuliza kijana wa leo akipelekwa katika kambi na kupewa mafunzo...
  19. JanguKamaJangu

    Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
Back
Top Bottom