Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.