GE2025 Joffrey Mwankenja achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa

GE2025 Joffrey Mwankenja achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwankenja amesema ametumia haki yake ya kikatiba ili kuomba ridhaa kwenye vikao vya maamuzi lengo ni kuwakilisha wananchi wa Jimbo la Lupa.

snapins-ai_3665011392238394785.jpg
 
Back
Top Bottom