joh

  1. King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  2. M

    CHADEMA wakiwa kwenye ubora wao walihamasisha hadi Joh Makini na wenzake kutunga wimbo wa kiharakati uitwao Bye Bye

    Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
  3. Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

    Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo. Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X, “Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...
  4. Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  5. Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

    Fid Q namkubali sana kwa barz. Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini. Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa. Fid Q wimbo walk it off Joh makini nusu nusu. Nikasikiliza midundo inafanana kimzuka. Lakini katika barz asee niseme...
  6. Tuchukue lipi, Tuache lipi kwa mistari hii ya Joh Makini

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI? STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION) Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana. Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu. "I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
  7. Nje ya box: Verse 1 (Nikki wa Pili)

    Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa Bakhresa asinipende mimi apende Verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi alikosa Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda...
  8. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
  9. M

    Hongera Joh Makini na Weusi kwa kutojishughulisha na kampeni

    Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa. Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu. Keep it up
  10. Naitwa Elifuraha Lyimo; Natafuta kazi ya ualimu wa English Medium

    Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
  11. Natafuta kazi ya ualimu wa English Medium

    Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…