john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 John Heche: Vyombo vya habari vinafanya upendeleo. Wakifanya coverage ya upinzani wanafanya negative stories

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA Akitolea mfano, Heche alisema kuwa: "Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya...
  2. Pre GE2025 Mwita Waitara: John Heche ni mwanafunzi wangu kisiasa, hawezi nitisha uchaguzi Tarime

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge Jimboni humo kwasababu ana historia ya kumshinda kwenye chaguzi tangu wakiwa wote ndani ya chama...
  3. Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  4. No Reforms, No Election 2025: Balaa la John Heche Sirari - Tarime. Maelfu wampokea. Amfyatua polisi anayeonea na kunyanyasa watu

    https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba. ➡Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
  5. John Heche Anahutubia.....

    Wanabodi Habari... Hivi Mnamfatilia John Heche Kweli...??? Nimeambiwa anahutubia huko Tarime muda huu.. Tunaomba mwenye updates atuwekee..
  6. Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  7. John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

    Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
  8. Pre GE2025 John Heche: Wabunge wamegeuka machawa wa Rais. Wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi, kwa siku Laki 6 ambazo ni Kodi zenu!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt...
  9. Pre GE2025 John Heche: Tupo tayari kufa kulinda msimamo wa CHADEMA na maslahi ya Wananchi, Rais wa Tanzania amegeuka kuwa Mungu

    John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  10. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
  11. Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

    Wakuu, Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
  12. Pre GE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
  13. Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

    Wakuu, Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025. Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
  14. Pre GE2025 John Heche aliahidi kuwashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono

    Salaama wakuu Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono. JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
  15. M

    Pre GE2025 Wassira atawasumbua sana Lissu na watu wake

    Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko. Pia Wasira hamungunyi maneno kwa CHADEMA kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe CHADEMA yote...
  16. Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  17. M

    John Heche Chawa wa Tundu Lissu amebakia kichwa tu

    We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe? Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
  18. L

    Pre GE2025 Stephen Wasira amjibu John Heche kuhusu umri wake kuwa mkubwa. Asema gari ni injini siyo bodi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara, Stephen Wasira, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu hoja ya umri wake, akisisitiza kuwa uwezo wa mtu hautokani na miaka aliyoishi bali akili alizonazo. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Geita leo Januari 29, 2025...
  19. S

    Pre GE2025 Lissu na Heche wanaweza kutengenezewa kesi na kuwekwa ndani mpaka uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 upite

    Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana. Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu...
  20. Pre GE2025 Musukuma amjia juu John Heche kwa kumsema Wasira ni mzee

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM. Soma: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…