Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni.
Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa.
Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara
Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake.
Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM.
Nilijiuliza sana...
Huu ni mwaka wa uchaguzi na mnakumbuka kwamba tuliwahi kuonya kwamba kuiteketeza ccm inahitaji siku 7 tu , na hali ndio kama mnayoiona.
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Baadhi ya Wabunge wa Chama Kikuu cha Upinzani (CHADEMA) wamepinga vikali maamuzi ya Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ya kuwataka Wabunge hao kutorejea bungeni hadi pale watakapopimwa na kuthibitika kuwa hawana Corona.
Aidha, inaelezwa kuwa Wabunge hao wa Chadema wamejiweka Karantini ya hiyari kwa...
Hili ni wazo fikirishi linahitaji tafakuri ya kina zaidi! Siasa na rangi ya vyama vikae pembeni.
Kwa inavyoonekana na kama ilivyotabiriwa awali na WHO; hali ya maambukizi na kusambaza kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya SARS-CoV-2 imefikia hatua mbaya sana!
Hivi mpaka usikie...
Habari!
Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha.
Simu 0654409392
Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza...
Maagizo ya Bashiru Ally yanaendelea kutekelezwa kwa kishindo na dola.
Pamoja na huyu wako viongozi wengine 8 waliokamatwa na kunyimwa dhamana kwa sababu zisizoeleweka.
Uonevu wa kishamba kama huu utakuja kuleta machafuko yasiyo ya lazima.
Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura.
Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao.
Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
Mwanzo mwanzoni niseme wazi kuwa mimi si na sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Hilo linatosha kutoa maoni yangu huru kuhusu siasa za nchi yangu kwakuwa nazifuatilia.
CHADEMA wanapaswa kufanya uchaguzi mkuu wa kichama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.