Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni.
Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee.
Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali.
Heche hayuko katika...
Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM.
Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana,
Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.
Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao.
Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .
Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.
Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
Hongera...
Habari Wakuu!
Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni.
Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu.
Kwa kuzingatia...
Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022..
Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
Kikwetu tuna msemo tunasema:
What goes around comes around.
Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara.
JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha.
Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo.
Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21.
Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk.
Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
"Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala."
John Heche Suguta
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha.
Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi.
Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM...
Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi.
Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.