john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  2. M

    Uongozi CHADEMA: Heche anaweza kutibu Majeraha, Lissu hawezi

    Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche. Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba zao walipoingia Ofisini kwa mara ya kwanza,kimsingi ukiwasikiliza vizuri Hotuba ya Heche ndiyo...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Heche: Hatutatoa nafasi kwa kuangalia uchawa

    Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia aliwaunga mkono yeye au Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu katika kipindi uchaguzi. Akizungumza leo...
  4. comte

    Heche: Mzee Wasira Lissu sio saizi yako, Lissu atashughulika na Rais

    “Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi...
  5. S

    John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

    Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela. Niliwahi waambia mtakuja...
  6. J

    Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  7. Erythrocyte

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati, Devota Minja

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu...
  8. Shooter Again

    John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  9. W

    Videos: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu, matukio kadhaa yakionyesha msimamo na ujasiri wa John Heche

    Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
  10. Cute Wife

    Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  11. Mindyou

    Pre GE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  12. T

    Pre GE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

    Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
  13. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Lissu, Lema na Heche hawaaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema taifa na wanachdema kwa ujumla?

    Je, hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini? Au, hawakubaliki wala...
  14. Papaa Mobimba

    Mbowe: Niliona John Heche anapotea kisiasa, nikamteua Mjumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama. Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
  15. comte

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

    Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
  16. Patriot missile

    Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  17. Cute Wife

    Pre GE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

    Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
  18. chiembe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hawajakemea ubaguzi wa jinsia, ukanda, na udini unaifanywa na Lissu na Heche

    Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche. Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  20. comte

    Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

    Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine. "Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu...
Back
Top Bottom