Wakuu,
Kwenye haya maisha kwa kweli hamna kitu muhimu kama kujichagulia angle yako.
Leo nilikutana na wimbo mmoja wa msiba wa Marehemu Komba. Kiukweli huyu jamaa alikuwa ni genius.
Kuna ule wimbo mmoja alimuimbia Mwalimu Nyerere unaitwa Kwaheri Mwalimu Nyerere. Ule wimbo hata kama ulikuwa...