roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,886
Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!!
" Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane!! .....wajinga waleee CCM mbele Kwa mbele!!
Leo hiii watoto wa Komba ndio wanaandamana!! Kutoa malalamiko Yao kwenye misiba!!! Wanasimulia ugumu wanaoupitia!! .... Wanaisoma namba!!! Sasa Kiko wapi!??