john

  1. Bashungwa, John Paul Wanga hafai kuendelea na ukurugenzi, ukiacha Jimbo la Musukuma, mradi wa viwanja Buwelu East alitapeli,Waziri wa ardhi fuatilia

    John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi...
  2. John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

    Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
  3. John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  4. Mmeionaje series ya Peacemaker ya John Cena?

    Juzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker zimetoka. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
  5. Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  6. Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

    Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
  7. John Mmbaga na hekima ya siri ya namba 40

  8. Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  9. John Mnyika, kuulalia mkeka uliochanika kunahitaji akili nyingi sana na sio nguvu

    Comred Mnyika mdogo wangu na Katibu Mkuu wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA tunataka tuuone utashi na hekima na busara zako katika kipindi hiki kigumu, chama chako kina Kariba kubwa ya vijana ambao bado wana mihemko. Mkeka uliolalia umechanika Sana, usitumie nguvu kubwa utauchana zaidi. Maneno...
  10. B

    John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  11. M

    Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

    ==== Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi wa kutisha ghafla. Kundi hili hatari kwa Taifa letu linamwona Rais Samia Suluhu Hassan...
  12. Haya ndiyo maslahi ya nchi na haki za wananchi alizosimamia Hayati Rais John Pombe Magufuli

    HAYA NDIYO MASLAHI YA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI ALIZOSIMAMIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Leo 15:15hrs 06/12/2021 Rais John Magufuli katika Awamu ya tano,kwa kutekeleza usimamizi wa maslahi ya nchi na haki za Wananchi ni kama aliingia vitani,tuliona maadui mbali katika sura ya "Kigogo" "Chahali" na...
  13. Wacheza mieleka ni waigizaji wazuri sana

    Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock. Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
  14. Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  15. Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: tunamuenzi John Godfrey Rupia (1904 - 1978)

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978) Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe. Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu. Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao. Nimemjua Joyce...
  16. J

    Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

    Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni, Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwa kutumia nguvu ya Rais alikataa watoto hawa kuendelea na masomo. Benki ya Dunia...
  17. On This Day 24th November 1572 John Knox, the driving force behind the Scottish Reformation died in Edinburgh

    John Knox and the Scottish Reformation by Leah Rhiannon Savage This article presents the role John Knox’s leadership played in the success of the Scottish Protestant Reformation in 1560. John Knox, born in approximately 1514 in Haddington, East Lothian, Scotland, is considered as one of the...
  18. Tumekubali. Tutakukumbuka Rais wetu John P Magufuli

    Toka umetutoka hayati rais wa JMT. JPM mambo yamekuwa siyo mambo. Sijuwi tuanze wapi tumalizie wapi. Umeme ni kukatika hovyo na kila baada ya masaa fulani. Ila wanakusingizia eti ulikuwa hutaki matengenezo wala maboresho. Pia wanadai suluhisho siyo kufukuza watu kwa uzembe au kutokuwajibika...
  19. John Francis Raia Wa Marekani Aliyetembea kwa Miguu Miaka 22 Akiizunguka Marekani Kuhamasisha Utunzaji Wa Mazingira

    JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza chochote yaani bila kutoa sauti, kwa kawaida tu binadamu tunatofautia wengine hata sekunde moja...
  20. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…