I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.
JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.
Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and...
Nimekutana na habari hii hapa jamvini,
Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini."
Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back.
Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023.
Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho.
Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za pamoja ili kuyatatua.
Suala la Umeme linavyoathiri biashara za wananchi, ufisadi ulioibuliwa bungeni...
Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo.
Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe .....
Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi.
Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM.
Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana,
Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.
Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi.
Akijibu hoja hiyo, Musk amesema anaamini mwanamuki huyo atarejea Twitter.
Aidha, mtangazaji maarufu wa Uingereza...
Habari ndugu zanguni.
Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.
Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa
Alhamisi, Novemba 24, 2022
Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome
By Luqman Maloto
Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet
Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na kupachika watu wake,akatengeneza serikali kivuli isiyo rasmu ndani ya serikali yake.
David Albeet Basheet...
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao.
Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...