Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Musukuma', amesifu utendaji kazi na uthubutu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akibainisha kuwa msimamo wake thabiti ulisaidia sana kusukuma mbele utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini.
Musukuma amesema kuwa kabla...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Msukuma' amesema wananchi wa Sengerema wanapaswa kumpa kura za heshima mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Tabasamu kutokana na mambo mengi makubwa ya kimaendeleo aliyowafanyia.
Msukuma amesema kocha anapofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.