joseph kasheku

Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Musukuma: Wakati wa Magufuli miradi ilikuwa inaenda kasi kwasababu alikamata na kufukuza

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Musukuma', amesifu utendaji kazi na uthubutu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akibainisha kuwa msimamo wake thabiti ulisaidia sana kusukuma mbele utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini. Musukuma amesema kuwa kabla...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Msukuma: Kocha akifanya vizuri anaongezwa mkataba, Tabasamu amefanya makubwa, mpeni Kura za Heshima

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Msukuma' amesema wananchi wa Sengerema wanapaswa kumpa kura za heshima mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Tabasamu kutokana na mambo mengi makubwa ya kimaendeleo aliyowafanyia. Msukuma amesema kocha anapofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…