joseph mbilinyi

  1. Erythrocyte

    CHADEMA yatambulisha sare mpya ya Chama nchini Marekani

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani. Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa Chadema wenye nembo ya STRONGER TOGETHER umetengenezwa Nchi humo kwa quality za Kinyamwezi...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbeya yaanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya Mjini alipo Tulia Ackson na kupata jimbo lingine la Uyole

    Wakuu, Wameona wamtengee kabisa Tulia jimbo asipate tabu ya kusumbuana na Sugu, maana wanajua ataibika! ==== Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Sugu afanya amsha amsha Mbeya Vijijini

    Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini ===================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa na wananchi wa Kata ya Ilungu katika Jimbo la Mbeya Vijijini baada ya...
  4. Judi wa Kishua

    Joseph Mbilinyi Sugu: Toka adharani ujisafishe dhidi ya tuhuma za rushwa alizosema Lissu au ujiuzulu

    Joseph Mbilinyi wanakuita Sugu umetajwa mara nyingi sana mwenyekiti wako wa chama Tundu Lissu kuwa umepata uongozi wa kanda kwa kutumia rushwa. Lissu amesema mara nyingi ulitumia pesa kutoka kwa Abdul kumtoa madarakani rafiki yake mwanaCCM kwa sasa Peter Msigwa. Hizi tuhuma ni nzito kwa sababu...
  5. Erythrocyte

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Afika Ubalozi wa Marekani kumuaga Balozi Michael Battle anayemaliza muda wake

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo January 7, Bilionea Joseph Mbilinyi amekutana na Balozi huyo Ofisini kwake na kufanya naye Mazungumzo marefu. Ambapo inadaiwa kwamba ametumia nafasi hiyo kumuaga Balozi Michael Battle, anayemaliza muda wake Nchini Tanzania. Wawili hao wametumia nafasi hiyo...
  6. Mtu Asiyejulikana

    Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo wapi? Kimya chake kinatupa taharuki

    Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa. Tunaona watu ambavyo wanamkataa mwenyekiti. Tena inashangaza watu wa CDM ndo leo hii wanampinga Mwamba. Yeye Sugu...
  7. J

    Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania Sugu amelia sana huko Ukurasani X Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Mbeya: Sugu ashiriki zoezi la kupiga kura

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa Tonya Jijini Mbeya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi. Kupata taarifa na matukio ya...
  9. Tlaatlaah

    Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
  10. figganigga

    LGE2024 Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia

    Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA...
  11. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sugu aendelea kusafisha Mabaki ya CCM Mbeya Mjini, Leo ni zamu ya Kata ya Isyesye

    Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  13. Suley2019

    SI KWELI Picha ya Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa amelazwa hospitali ilikuwa na chupa ya Konyagi kwa pembeni

    Salaam Wakuu, Nimekutana na chapisho hili kutoka Twitter, ina ukweli?
  14. B

    Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

    Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
  15. J

    Sugu atofautishe kukamatwa na kutekwa, kwenye zuio la maandano ya BAVICHA alikamatwa sio kutekwa!

    Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa Pia soma...
  16. J

    Dkt Kigwangala: Sugu ni Mwanangu sana na mwanafamilia siwezi kumuombea kifo Kwa Sababu yoyote ile au Chanzo chochote kile!

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Kigwangala amesema Sugu kwake ni kama mwanafamilia hivyo hawezi kumuombea kifo Kwa Sababu yoyote ile Mlale Unono 😀
  17. J

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi: Rais na Amiri Jeshi Mkuu, tumefikaje huku tena?

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?" Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha...
  18. Erythrocyte

    Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

    Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru. Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa...
  19. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

    Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana. Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili...
  20. Erythrocyte

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi aongoza Kikao cha Mashauriano Mkoa wa Iringa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo 12/07/2024, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ameongoza Vikao vya Mashauriano vya Mkoa wa Iringa, ambapo ameshirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa huo Bilionea William Mungai. Vikao hivi ni vya kawaida vyenye lengo la kujadili mipango ya chama na kuweka mikakati...
Back
Top Bottom