Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu.
Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo...
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku
====
Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba.
Sugu amesema kwa mawazo yao wao CHADEMA ni vyema Serikali ikakosa kipato (Ishindwe kuhudumia wananchi na watu wakose ajira), na hilo...
Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, aliyewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini amepost clip inayomuonyesha akimtunza mwanamziki cristian bella jukwaani.
link hii hapa:
NB:
nikiwa kama shabiki wa mziki wa live na mziki wa rumba nimefuhia sana tukio hili.
kwa wadau wa mziki wa rumba hili ni...
Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona
Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa.
Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.