joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  2. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  3. Hii ni hatari wakuu njoeni huku lilipo bungeni na ikulu joto ni 21℃ 🧨🧨🧨

    Jamani hizi siku nilipanga kurudi Dar tarehe kati ya 13 na 14 sitaweza kutudi😭😭😭
  4. T

    Kuongezeka kwa Joto Nchini

    Wakuu hali ni mbaya, joto limeongezeka maradufu , sehemu nilipo niewasha feni ila joto linasoma nyuzi joto 29C hali ni mbaya kunyweni maji mengi sana. Noamba kuwasilisha
  5. Vodacom 4G inasababisha simu kupata joto sana

    Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake...
  6. Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  7. TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
  8. Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  9. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  10. Niliwahi kuambiwa na mmakonde kuwa pombe aina ya Gongo inayotegenezwa kwa korosho ikipata joto inalipuka. je hili nikweli?

    Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake. Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia...
  11. Mchungaji: Hali ya joto inayoendelea nchini kwetu ni kutokana no moto aliowasa Mungu Los Angles US

    Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
  12. Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

    Unakuta joto kama hili hapa jijini Dar es Salaam Ila kuna watu wamekumbatiana mda huu wa usiku Are serious...
  13. Hivi hili joto ni Ruangwa tu ndio limetuzidia au Tanzania nzima?

    Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania) Jana mchana temperature ilifika 37°C...
  14. Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  15. Je, simu yako inapata sana joto?

    Simu yako inapata Sana Joto !!! Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀. Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati...
  16. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  17. TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  18. Dunstan Kitandula: Barafu inapungua mlima Kilimanjaro kutokana na kuongezeka kwa joto la Dunia

    Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya upandaji miti inakwenda sambamba na utekelezaji wa mikakati ya kupanda zaidi ya miti milioni 8 kwa...
  19. W

    Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

    Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa VERSE 1: siku nimenuna Kwanini tunagombana Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si...
  20. Hoja nzito kidogo: Vipodozi vikali vinapunguza joto la mwili

    Eheeee. Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k Hivi Vipodozi vinapunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…