joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

    Umofya kwenu! Husika na kichwa cha mada hapo juu. Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
  2. Nobunaga

    Kwa hili "Fukuto la Joto" la usiku huu, Dar tujiandae kwa mvua ya haja

    Usiku huu hapa Dar kuna joto lisilo la kawaida... Joto ni kali sana, huku kukiwa hamna kabisa upepo unaovuma... Kwa nijuavyo, kwa hili fukuto la joto, kinachofuata ni mvua kubwa sana.
  3. Doto12

    Kwa mara ya kwanza Dar joto linasoma 27 degree

    Haya ni maajabu Muda huu huu imefika 26
  4. cleokippo

    Paul makonda wa joto sana, hivi zile ni nguvu zake au superstation? Arudisha matumaini mapya kwa wakazi wa jiji la miamba (the rock city)

    Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi...
  5. Hismastersvoice

    Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  6. Erythrocyte

    Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  7. Mhafidhina07

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  8. Roving Journalist

    Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na joto la ardhini kikikamilika kitazalisha Megawati 70

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole. Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
  9. mwanamwana

    KWELI Ushuzi na Kinyesi cha Ng'ombe huzalisha Methane inayosababisha ongezeko la joto duniani

    Ingawa ni kama utani na inachekesha ila huwezi amini kuwa ng'ombe akijamba/kutoa ushuzi basi kile kitokacho huambatana na gesi ya methane ambayo huzalisha joto na moto/mwanga. Wanaharakati mbalimbali wa mazingira wamekuwa wakidiscourage ufugaji/uzalishaji wa ng'ombe kwa wingi na kusema wazi...
  10. JanguKamaJangu

    Marekani: Mtoto wa Mwaka mmoja afariki baada ya kuachwa kwenye gari lenye joto kwa saa 8

    Mtoto huyo wa kike aliachwa kwenye kiti cha nyuma cha gari na bibi yake ambaye alienda kufanya kazi. Polisi wa New York wameeleza kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 54 alisahau kumpitisha shuleni mtoto huyo kama ambavyo amekuwa akifanya anapoenda kazini. Baada ya saa nane akaenda shuleni...
  11. L

    Joto kali duniani linathibitisha kuwa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mambo ya tabia nchi ni sahihi

    Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
  12. benzemah

    Miji 15 nchini Italia yawekwa kwenye tahadhari kutokana na wimbi la joto kali

    Hali ya joto nchini Italia inatarajiwa kuongezeka kwa nyuzijoto 12C (53.6F) zaidi ya wastani. Utabiri wa siku ya Jumamosi kwa JIji la Roma unaonesha kuwa halo iko katika nyuzijoto 37C (98.6F), na 43C (109.4F) siku ya Jumapili. “Italia, Uhispania, Ufaransa, Ujerumani na Poland zote...
  13. Nsanzagee

    Kukaa kimya ni hekima na kuepusha madhara yasiyo ya lazima! Kusakwa kwa wanaharakati ni kukuza jambo na kuongeza joto la upinzani wa mkataba

    Ikiendelea hivi kama ambavyo wao wanaona ni busara kuwasaka na kuwakamata wanaharakati na wanapigia kelele mkataba! Ni kukuza joto la upinzani na kuongeza kelele zaidi na hata kuchochea vitu vingine visivyotarajiwa! Ilikuwa sawa kabisa kwa serikali kupuuza hizi kelele huku wao wakijikita...
  14. Mr Dudumizi

    Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

    Habari zenu wana JF wenzangu, Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango...
  15. L

    Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  16. R

    Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

    Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾 Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
  17. R

    Kwa joto la kisiasa lililopo kwenye sekta binafsi; naona baraza la mawaziri likifumuliwa; sekta nyingi zimeyumba

    Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi. Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

    Kwema Wakuu! Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  20. BARD AI

    Tahadhari ya Marburg: Wasafiri kupimwa joto Kagera, watakaobainika kuzuiwa safari

    Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini, Serikali imetoa mwongozo wa wasafiri kote nchini kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja. Machi 21 Serikali kupitia Wizara ya Afya ilithibitisha uwepo wa ugonjwa Marburg katika...
Back
Top Bottom