joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. Fundi manyumba

    Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

    WATAALAM WANASEMA ........TAHADHARI..... ....... Kuanzia leo saa 5:00 asubuhi: Kwa masaa 27 tutashuhudia PHENOMENON ya APHELION. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona hali hiyo, lakini TUNAWEZA kuhisi athari yake. Hii itadumu hadi mwezi wa Agosti. Tutakuwa na hali ya baridi...
  2. G

    Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  3. Nyendo

    SI KWELI Watoto wachanga hawahisi joto

    Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida. IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu wazima mnatamani kukaa kwenye feni ila mtoto mchanga bado kafunikwa mablanketi na kavishwa sweta, ukihoji...
  4. Lady Whistledown

    Sudan Kusini: Shule zafungwa baada ya Joto kali kuongezeka

    Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake. Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
  5. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
  6. MRBIASHARA

    Tunauza taa za joto za kulelea vifaranga. (heat infrared light bulb)

    TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA. (HEAT INFRARED LIGHT BULB) ●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri. ●Taa moja hulea vifaranga 100 hadi 150. ●Huzalisha joto la kutosha hivyo humfanya kifaranga wako kufurahia maisha. ●Hudumu muda mrefu...
  7. greater than

    Points 10 za ujenzi: Joto ndani ya jengo

    MAKALA YA 2 Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya jengo.Hili suala linawasumbua wakazi wa mikoa ya ukanda wa Pwani, Longido, Loliondo, Simanjiro...
  8. Mjanja M1

    TMA: Joto linachangiwa na kusogea Jua la Utosi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua. TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo...
  9. S

    Joto kali laporomosha soko la wanawake vibonge. Vimbaumbau wanapeta.

    Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka. Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na michirizi yote. Vimbaumbau ndiyo mpango mzma kwa joto hili. © Sexless kungwi la kitaa.
  10. D

    Usiteseke na joto

    Samsung AC Inverter Samsung Ac AR12TVH (btu 12)........1,350,000/= Samsung Ac AR18TVH (btu 18) .........1,800,000/= Samsung AC AR24TVH (btu 24) - 2,100,000/=* 0713520180
  11. BARD AI

    Makonda awaweka matumbo joto Mawaziri

    Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende. Amesema akihitimisha ziara katika mikoa 20 ataanika udhaifu uliopo katika kila sekta. Makonda ameeleza hayo leo Jumanne Februari...
  12. M

    Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
  13. Shining Light

    Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  14. W

    Mwaka 2023 ulikuwa wenye joto zaidi katika historia

    Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia. Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
  15. jastertz

    Kutokwa na vipele vidogo vidogo na Kuwashwa mithili ya Sindano kwenye Jua au Joto

    Habari JF's, Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata mimi pia nawashwa sana hasa kwenye jua.'' Kwangu mimi sichukulii kama jambo dogo, Ningependa kuona...
  16. A

    DOKEZO Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  17. monotheist

    Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

    Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
  18. Hismastersvoice

    Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

    34°C
  19. Trubarg

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Habari wadau. Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana. Tips muhimu za kuishi maisha...
  20. Mudawote

    Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

    GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt...
Back
Top Bottom